DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Acha roho mbaya mwanangu, kwa kuwa wewe juzi mkeka wako ulichanika, unaona ni vyema uwaingize mkenge wenzio ili mkose wote?Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.
Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.
Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote. Utakuja kunishukuru baadae.
Tuambie red card ipi Au penalty ipi sio halali kwa game ya majuzi ya SimbaYote ni matokeo ya mpira.
Yanga hatuhongi waamzi kama 5imba
Ushindi wetu hauna red card, penalties za ajabu kama watani
Yanga bingwa
Red card ya Derick Mkombozi alifanya tukio Gani?Tuambie red card ipi Au penalty ipi sio halali kwa game ya majuzi ya Simba
Alimpiga kibao Ateba.Red card ya Derick Mkombozi alifanya tukio Gani?
Penati za ajabu, una akili kweli?Yote ni matokeo ya mpira.
Yanga hatuhongi waamzi kama 5imba
Ushindi wetu hauna red card, penalties za ajabu kama watani
Yanga bingwa
Akimpiga uwanjani au chumbani?Alimpiga kibao Ateba.
Kwenye Sebule Ya Jiesiem.Akimpiga uwanjani au chumbani?
Pamoja na kupewa penalti za mchongo, Simba msimu huu anaangukia pua.Tuambie red card ipi Au penalty ipi sio halali kwa game ya majuzi ya Simba
Kama sii kolo utakuwa mchezesha mechi ya singida na nyieTunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.
Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.
Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote. Utakuja kunishukuru baadae.
Pamoja na kupewa penalti za mchongo, Simba msimu huu anaangukia pua.
Penalti ya piliIpi haikua penalt halali ndugu?
Akimpiga uwanjani au chumbani?
Penalti ya pili
Ushindi wenu ni wa utata...unataka uthibitisho? Basi ulizia timu zenye nembo ya gsmYote ni matokeo ya mpira.
Yanga hatuhongi waamzi kama 5imba
Ushindi wetu hauna red card, penalties za ajabu kama watani
Yanga bingwa