Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 707
Ninahitaji mashudu ya alizeti, kiwango cha chini tani 25 na kuendelea.
Manunuzi yatafanyika mahali mzigo ulipo na usafiri ni juu yangu.
Inbox namba ya simu pamoja bei yako kwa kilo. Ubora utazingatiwa.