Mashudu ya alizeti kutoka Kiteto, Manyara

Mashudu ya alizeti kutoka Kiteto, Manyara

Habari

Tunauza mashudu ya alizeti kwa ODA ya siku nne kabla

Kg1 bei ni Tsh 275/=

Kwa mawasiliano
0716 583808

Karibuni
Cku hz watu wanayatumia kwa kuongeza nini et... hahaha
 
Habari

Tunauza mashudu ya alizeti kwa ODA ya siku nne kabla

Kg1 bei ni Tsh 275/=

Karibuni
Nenda kiwanda cha vyakula vya mifugo kinaitwa Mt. Meru kipo arusha ila hao wahindi wajanja-wajanja sana
 
Uwezo wako wa kuzalisha ukoje,mm nataka mengi kunapunguzo?
 
Hadi Dar sh ngapi?
Umeyasaga ?
 
Habari

Tunauza mashudu ya alizeti kwa ODA ya siku nne kabla

Kg1 bei ni Tsh 275/=

Karibuni
Hii ni bei ya kuuzia ukiwa Kiteto huko huko au ni bei ya mzigo ukishafika Dar es Salaam.

Maana kama ni hivyo inabidi mtu aje amejipanga na gharama za usafiri wake.
 
Hii ni bei ya kuuzia ukiwa Kiteto huko huko au ni bei ya mzigo ukishafika Dar es Salaam.

Maana kama ni hivyo inabidi mtu aje amejipanga na gharama za usafiri wake.

Nauzia kiteto, ila kama hadi dar es salaam ninauza 300/ kg
Ili kushare kidogo gharama za usafri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom