si kweli miss chagga kuwa na homoni za kike hakumfanyi mtu kuwa na hamu yakuwa shoga bali hutokeza features za kike kwa mtoto wa kiume kama vile sauti nyembamba,matiti na hipsi kubwa lakini hizo hamu nyingine sijui tuseme ni shetani,sijui ni mtu mwenyewe,lkn wala haihusiani na mtu kuwa na homoni za kike.
Mimi.sikutishi nakuwambia ukweli kama vipi inama kama uja omba poo tene uwenda wewe ni shoga ndiyo ukaona ulipata mpemba itakuwa safi kwako kijana jiyangaliye bora uwende mombasa kama vp
Wadau naomba mnisaidie ni nini kinachowashawishi watu wa jinsia moja kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kinyume na maagizo ya Mungu? Na wanapata faida gani wanapofanya hivyo?
1.mapepo ya ngono
2.tabia za kishoga katika malezi
3.kuingiliwa kinyume na maumbile
4.kukosa aibu
5.hormonal defect
ntaendelea mikimaliza kuandika kitabu