MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
Ndugu zangu, ushoga ni uhusiano wa kimapenzi baina ya watu wa jinsia moja. Umeshamiri sana Ulaya na Amerika na unakuja kwa kasi kubwa sana Afrika na Tanzania yetu unaenea kwa kasi. Tena nasikia hoteli moja yenye jina la kisiwa kimoja maarufu nchini inaongoza kwa tabia hizo, iko Dar karibu na Posta.
Nchi nyingine wamewahalalishia hadi kuzitambua 'ndoa' baina yao. Ktk mpango wa Mungu hakuna ndoa za jinsia moja kwa sababu mpango wa Mwenyezi Mungu unaruhusu ndoa kati ya mwanaume na mwanamke tena wadumu milele mpaka kifo kiwatenganishe.
Tabia ya ushoga ni mbaya nadhani serikali yetu ijipange mapema iweke sheria kali dhidi yao. Sijui adhabu gani inawafaa watu wa namna hii ili iwe fundisho kwao na kuzuia tabia hii kuenea nchini. Mashoga ndio wanaolawiti hata na watoto wasio na ufahamu.
Kunyonga ni adhabu isiyofaa kwa binadamu yeyote kwani ni kinyume na mpango wa Mungu. Nahisi kifungo cha maisha itakuwa ni adhabu kali sana kwao.
ADHABU GANI WAPEWE?