Mashoga waongezeka

Watoto wa kiume kutokupenda kufanya kazi na kuishi maisha ya juu tofauti na uwezo wao. Inabidi wawe makini sana na wanavyolea watoto wao.
 
Wakuu kwenye pitapita zangu nmegungua kasi ya mashoga DSM inaongezeka.. Nini chanzo ni ugumu wa maisha, kuiga wazungu, makundi ...

Mkuu mbona mashonga wapo Tuko zamani tu.
Tufauti yake Ni mitandao ambayo inawatangaza.Ilikuwa aibu kubwa kuwa shoga Sasa vijana wengi wanavaa hereni,wana weka makeup,suruwali ziko chini ya Magoti Na Ufuska mwengi tu.Haya Ni majanga sio Tanzania tu ila dunia nzima.
Mwenye Mungu Atunusuru.
 
Hizi habari za kuwapa promo mashoga hachana nazo, wameongezeka kutoka wangapi mpaka wangapi? Unapitapita kwenye vijiwe vya mashoga kutafuta nini?
 
Watoto wa kiume kutokupenda kufanya kazi na kuishi maisha ya juu tofauti na uwezo wao. Inabidi wawe makini sana na wanavyolea watoto wao.
Mtoto Wa kiume hapendi kufanya kazi,Hana elimu alikimbia shule na anataka kula kwa mrija Na kula bata kwa sana...kwanini asitoe jicho??
 
Tabia ya kupenda kujaribu kila kitu, Shisha, Kutoga Masikio, madawa ya kulevya n.k sasa siku akijaribu kuinamishwa ndo ntolee!
 
Wakuu kwenye pitapita zangu nmegungua kasi ya mashoga DSM inaongezeka.. Nini chanzo ni ugumu wa maisha, kuiga wazungu, makundi ...

Ukiwapiga vita mashoga mtanyimwa misaada na wazungu, kama MCC ...teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom