babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Kuona kitu cha namna hiyo huku kwetu tafsiri yake ni kupatwa na mkosi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Lol!! lini tukutane ili na wewe uteme mate kwenye blouse uliyovaa? :becky:Kwa hiyo ajitemee mate kwa ndani ya shati alilovaa?
Kwa hiyo ajitemee mate kwa ndani ya shati alilovaa?
Kwa hiyo ajitemee mate kwa ndani ya shati alilovaa?
Anatakiwa ajitemee kwa ndani ya shati kabla hajalibadilisha shati alilolivaa wakati wa tukio.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Niko hapa steshen(si ya mwakyembe)nasubiri treni niende hm.mara nageuka kushoto naona kuna vijana wawili wamekumbatiana kweli kweli.sikushtuka sana nikidhani ni mtu na bibi yake hawajakutana muda ndo wamekutana.ktk geuka geuka nawaona wote kwasura na wana ndevu za kufamtu.bado wamekumbatiana na wanakula denda km vile wameambiwa la mwisho mwisho
Nilipogundua hilo nikaishia kusikitika tu.ila najua ingekua bongo wale wangekula viboko vibaya sana
Anyway ndo maisha tuliyopo.w-end njema
chapa fimbo aseeeNiko hapa steshen(si ya mwakyembe)nasubiri treni niende hm.mara nageuka kushoto naona kuna vijana wawili wamekumbatiana kweli kweli.sikushtuka sana nikidhani ni mtu na bibi yake hawajakutana muda ndo wamekutana.ktk geuka geuka nawaona wote kwasura na wana ndevu za kufamtu.bado wamekumbatiana na wanakula denda km vile wameambiwa la mwisho mwisho
Nilipogundua hilo nikaishia kusikitika tu.ila najua ingekua bongo wale wangekula viboko vibaya sana
Anyway ndo maisha tuliyopo.w-end njema
fanya mara sabaajitemee mara tatu mfululizo
asisahau kuchinja jogoo wa kijani ili kuondoa nuksi la sivyo mwaka mzima utamwendea kombo na dili zake za maendeleo zita-bounce :happy:on the spot, akichelewa hata dk1 imekula kwake
on the spot, akichelewa hata dk1 imekula kwake
Niko hapa steshen(si ya mwakyembe)nasubiri treni niende hm.mara nageuka kushoto naona kuna vijana wawili wamekumbatiana kweli kweli.sikushtuka sana nikidhani ni mtu na bibi yake hawajakutana muda ndo wamekutana.ktk geuka geuka nawaona wote kwasura na wana ndevu za kufamtu.bado wamekumbatiana na wanakula denda km vile wameambiwa la mwisho mwisho
Nilipogundua hilo nikaishia kusikitika tu.ila najua ingekua bongo wale wangekula viboko vibaya sana
Anyway ndo maisha tuliyopo.w-end njema
asisahau kuchinja jogoo wa kijani ili kuondoa nuksi la sivyo mwaka mzima utamwendea kombo na dili zake za maendeleo zita-bounce :happy: