Adamulindenga
Member
- Mar 6, 2017
- 5
- 3
Ungetutajia na majina ingekuwa poa sana.
Kwani Kuna aina ngapi ya mashirika ya kijasusi America ?
Acha uongo wako FBI NSA DIA na DEA yote ni mashirika usisahau mama lao NSAShirika liko moja tu ila ndani yake kuna agency ndogo ndogo nyingi sanaaa.
Ukiangalia organization structure ya CIA utaona agency zao xipo kila nganzi ya utawala na kila sekta wamepandikiza agency ambayo kwa macho ya nyama huwezi kuyajua vizuri.
Utakuta kuna agency ya inayodeal na issue za kimataifa. Hawa ndio wale wanaojidai kuja nchi za afrika kujitolea kwenye shughuli za kijamii huku kwetu kumbe ni agency wa CIA.
Wanaleta watu kuja kujitolea kufundisha huku afrika . wanajidai kuja kufanya utalii kumbe ni agent wa CIA.
So marekani kuna shirika moja tu la ujasusi ila ndani yake kuna vitengo vingi vingi.
Mfano kuna secret service hii ni kwa ajili ya kuprotect interest za Trump. Na mengine mengiiii
Wakiwa na motto yao ile waliyotoa kwenye biblia.
Na nembo ya njiwa kabeba jani la mmea.
Acha uongo wako FBI NSA DIA na DEA yote ni mashirika usisahau mama lao NSA
We ya nini sasa? Kwa nini usijiulize kuna njia ngapi zinazoweza kukupa pesa wewe na familia yako.Kwani Kuna aina ngapi ya mashirika ya kijasusi America ?
Tukujibu ya amerika au ha marekaniKwani Kuna aina ngapi ya mashirika ya kijasusi America ?
Kwani Kuna aina ngapi ya mashirika ya kijasusi America ?