Faida inapatikana Mkuu, Kwa Kila tofali 1, inazalisha faida ya shilingi 250 hadi 350Biashara kichaa hii.....hizi kweli wafanye Wastafu. Yaani Mzigo wa milioni 10 faida laki mbili? Kwa hiyo nilioni moja faida ni elfu 20?
Nguvu kazi unailipaje? Kufyatua tofari elfu 8 is not a joke.
Hapo sawaFaida inapatikana Mkuu, Kwa Kila tofali 1, inazalisha faida ya shilingi 250 hadi 350
Ambapo ukiuza tofali 1,000 unazalisha Faida ya shilingi 250,000 hadi 350,000
Japo ili upate faida kubwa inategemea na Mzunguko wako mauzo
Huu ni ukweliFaida inapatikana Mkuu, Kwa Kila tofali 1, inazalisha faida ya shilingi 250 hadi 350
Ambapo ukiuza tofali 1,000 unazalisha Faida ya shilingi 250,000 hadi 350,000
Japo ili upate faida kubwa inategemea na Mzunguko wako mauzo
Ila kama ulivyosema awali, ukipata sehemu yenye mzunguko mkubwa wa biashara ndiyo unaweza kuona faida ya hii biasharaHapo sawa
Ndiyo maana wachache wenye kujua ushindani wa hii biashara hutoa ofa ya shilingi 30 ama 50 Kwa madereva/ mafundi wanaoleta mteja/wateja kwaoHuu ni ukweli