Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,145
- 1,344
- Thread starter
-
- #261
Mkuu as long as demand ya tofali ipo ,changamoto zote zinakua hazina maana.Ila kwa ninaowajua wanaofanya shughuli za/ya namna hiyo tayari wako vizuri kiuchumi (wana fedha na. Vyanzo vinginevyo vya mapato) ukikurupukia unaumia
Roughly inaweza gharimu kama milioni 10 hivi, though kama utakuwa na umeme jiraniKwa utaalam wako unafkiri unahitajika kama mtaji wa kiasi gani kuanzisha kakiwanda kadogo ka-namna hiyo?
Yes kwakuaza nayo sio mbayaRoughly inaweza gharimu kama milioni 10 hivi, though kama utakuwa na umeme jirani
Hizi ni kiasi gani mkuu? Na zina vipimo gani?
300kHizi ni kiasi gani mkuu? Na zina vipimo gani?
Huku kuna hizi zenye 2.9m kwa 125mm×125mm. Hizi mnaweza tengeneza? If so bei itakua ngapi?300k
Urefu 3M
Upana inch 6
Mkuu inawezekana kabisaHuku kuna hizi zenye 2.9m kwa 125mm×125mm. Hizi mnaweza tengeneza? If so bei itakua ngapi?
PIa naomba kujua..Mkuu inawezekana kabisa
250k
Hapa hatujakupata mkuuPIa naomba kujua..
1. Kwenye formwork sijaona sehemu kwa ajili ya matundu ya poles, je matundu yanawekwaje kwenye poles?
2. Formwork zina support matundu mangapi?
Pitia mkuuNaupitia uzi
Biashara kichaa hii.....hizi kweli wafanye Wastafu. Yaani Mzigo wa milioni 10 faida laki mbili? Kwa hiyo nilioni moja faida ni elfu 20?Kuna sehemu nilikuwa nina ka-project ka Ujenzi, nilinunua zaidi ya tofali 8,350 Kwa bei ya shilingi 1,200 Kwa tofali
Kwa idadi hiyo ya tofali, hukosi shilingi 2,000,000 Faida