K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Oct 14, 2012 #1 heshima kwenu wakuu,npo dodoma,naomba kujua mashne za popcorne ntazipa wap na bei zake n sh.ngapi,nahitaji zile ndogo.natanguliza shukran,au kama kuna mtu anayo anauza siyo mbaya.
heshima kwenu wakuu,npo dodoma,naomba kujua mashne za popcorne ntazipa wap na bei zake n sh.ngapi,nahitaji zile ndogo.natanguliza shukran,au kama kuna mtu anayo anauza siyo mbaya.
mabumbe JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 298 Reaction score 40 Oct 14, 2012 #2 tuwasiliane mkuu ni pm mawasiliano yako.