Mashine za nafaka

Sungura dume

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2016
Posts
574
Reaction score
529
Nauza mashine za kukoboa, kusaga, na kukamulia alizeti mwenye kuitaji ani pm tufanye biashara.
 
Nicheck pm mkuu kwa mawasiliano zaidi ili tuyajenge
Mkuu ulianza vizuri lakini sasa ukubwa unakushinda,
Nini kinakulazimisha uwapeleke watu Pangoni Mkuu (PM) wakati biashara umeitangaza kwa wote? weka mambo hadharani kila mtu ajipinde mwenyewe
Samahani km nimekukwaza
 
Moja ya vitu nachukia ni maswala ya kuleta biashara nusu nusu haijakamilika, pili ukiuliza kitu njoo (pm) huko pm watu washatapeliwa Sana na ushaidi upo humu.
 
Mkuu samahani nni kimekufanya kuacha hii biashara na mmi ndiyo nataka ningie huko
 
kuwa muwazi, weka bei ya kitu kimoja moja hapo:
*kinu cha kusaga bei gani
*kinu cha kukoboa bei
*kinu cha kukamua alizeth bei gani.
pm hapana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…