Mashine za Mazulia (Carpet)

Mashine za Mazulia (Carpet)

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
Wakuu habari, nahitaji mashine za kutengenezea mazulia kwa hapa Dar. Ni sehemu gani naweza kupata. Natanguliza shukran
 
Sindano ni sh elfu 25,ni sindano maalumu kwa kutengeneza carpets, kuna jamaa anazo, ukihitaji naweza kumtafuta, ila mashine sijui zilipo.
 
mimi nipo moshi na nina uhitaji wa sindano nitazzipata wapi kwa hapa moshi na ni bei gani
Wewe wa Moshi nenda hapo viwanja vya hindu mandal hapo chini ya stand ya mabasi kuna maonyesho ya sido yanafanyika hapo kuna watu wako hapo wanaziuza maonyesho yanaisha kesho Ijumaa
 
Back
Top Bottom