Nenda mtaa wa Samora dula linaitwa Rozana wanauza hizo machine za kusaidia kusikia. lakini lazima daktari akushauri kwanza.Samahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga hearing aids.
Hizi ni zile mashine wanazotumiaga viziwi au wasiosikia vizuri.
Karibuni
Settings za mashine wewe. Soma vizuriSetting za masikio really [emoji848]View attachment 932020
Yes karibu na Mnara was askariSamora posta sio??
Nenda upanga opposite Richmond tower kuna wahindi hapo wanafanya hiyo kazi Hear well AudiologySamahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga hearing aids.
Hizi ni zile mashine wanazotumiaga viziwi au wasiosikia vizuri.
Karibuni
Mkuu niPMSamahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga hearing aids.
Hizi ni zile mashine wanazotumiaga viziwi au wasiosikia vizuri.
Karibuni
Mkuu hizo mashine Hearing Aids zinapatikana sehemu kubwa mbili pekee kwa Dar.Samora posta sio??
HearWell Clinic bei zao zinaanzia 850,000 kwa machine moja. Kupima usikivu ni 70,000. Ila mtaani ni laki NNE hadi tano, ila sio imara sana.Tajeni na bei basi maana na sisi wengine hatusikii vizuri
duh kumbe bei imesimama hivyo.. Nilidhani ni buku kumi machineHearWell Clinic bei zao zinaanzia 850,000 kwa machine moja. Kupima usikivu ni 70,000. Ila mtaani ni laki NNE hadi tano, ila sio imara sana.
Yes ulemavu ni gharama sana ndugu yangu.duh kumbe bei imesimama hivyo.. Nilidhani ni buku kumi machine
Nimewahi nunua ah 700,000/= mwaka 2015 wakati nalipia ndani ya mwezi huohuo zilipanda mpaka 850,000/= kama sijakoseaTajeni na bei basi maana na sisi wengine hatusikii vizuri
Samahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga hearing aids.
Hizi ni zile mashine wanazotumiaga viziwi au wasiosikia vizuri.
Karibuni