Mashine za Kusaga na kukoboa

Lugombo Nsesi

Senior Member
Jun 16, 2016
126
149
Wakuu naombeni mnipe taarifa kwa anaejua hizi mashine zinakouzwa.

Nipo dar nahitaji mashine ya size ya Kati kwa ajiri biashara ya kusindika unga wa sembe na Dona!

Nazitafuta ila wengi wamenipa taarifa tofauti kua zipo madukani, au VETA, au SIDO.

Naombeni kwa anayejua plzz...
 
Anza na madukani kama ulivyoambiwa mkuu.
Nenda K/koo huwezi kukosa A B C..ya mwelekeo wa kuzipata
 
Wakuu naombeni mnipe taarifa kwa anaejua hizi mashine zinakouzwa.

Nipo dar nahitaji mashine ya size ya Kati kwa ajiri biashara ya kusindika unga wa sembe na Dona!

Nazitafuta ila wengi wamenipa taarifa tofauti kua zipo madukani, au VETA, au SIDO.

Naombeni kwa anayejua plzz...
20000101_053941.jpeg
20170711_162617.jpeg
ni PM tuongee vitu vyote ninavyo full

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom