sparcus Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 193 Reaction score 125 Oct 26, 2014 #1 habari wana jamii natumai mu wazima wa afya,samahani naomba kufahamishwa ni jinsi gani naweza kupata mashine za kusaga kokote na bei zake,napatikana singida Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo
habari wana jamii natumai mu wazima wa afya,samahani naomba kufahamishwa ni jinsi gani naweza kupata mashine za kusaga kokote na bei zake,napatikana singida Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,874 Reaction score 2,203 Mar 12, 2018 #2 Kama hukusaidiwa na yeyote mwenye kujua Mashine tunazo tunaanzia million 10 nitafute 0762612213 ni kutoka sido dsm
Kama hukusaidiwa na yeyote mwenye kujua Mashine tunazo tunaanzia million 10 nitafute 0762612213 ni kutoka sido dsm