B babacareeni Member Joined Jan 2, 2013 Posts 48 Reaction score 6 Feb 19, 2014 #1 Jaman mwenye idea za bei za mashine za kuoshea magari anisaidie. Pia kama una uzoefu na hiyo biashara share pliiiiiz
Jaman mwenye idea za bei za mashine za kuoshea magari anisaidie. Pia kama una uzoefu na hiyo biashara share pliiiiiz
clever boy ze don Member Joined Jun 25, 2013 Posts 65 Reaction score 11 Feb 20, 2014 #2 hata mimi nashida hiyo so ka kunamtu anajua bei ya hiyo mashine plz tujuzane
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Jan 29, 2016 #3 Kuna mtu alasema huwa analeta used kutoka ulaya naona toka nimwambie nahitaji yuko kimyaaaa! Pitia thread hii: Nahitaji mashine ya kuoshea magari
Kuna mtu alasema huwa analeta used kutoka ulaya naona toka nimwambie nahitaji yuko kimyaaaa! Pitia thread hii: Nahitaji mashine ya kuoshea magari
Oxpower JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,181 Reaction score 3,115 Jan 29, 2016 #4 Hizo mashine ziko za aina tofaut,nmesahau majina yake ila mwaka juzi mimi nlinunua laki8, imatumia mafuta ya petrol,zingine zinatumia umeme,zipo zingine milio na laki tatu.izo ni hizi ndogo ndogo.ila zipo kubwa zinanzia milion nusu
Hizo mashine ziko za aina tofaut,nmesahau majina yake ila mwaka juzi mimi nlinunua laki8, imatumia mafuta ya petrol,zingine zinatumia umeme,zipo zingine milio na laki tatu.izo ni hizi ndogo ndogo.ila zipo kubwa zinanzia milion nusu