Mashine za kujiandikisha hapa Sombetini zimeharibika

mimione

Member
Apr 25, 2009
17
2
Katika kituo cha Sombetini machine za kuandikisha Wapiga kura zimeharibika Masaa manne sasa watu wamesimama na wamechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…