Mashine za kufumia vitambaa

Mashine za kufumia vitambaa

Rehemadick

Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
8
Reaction score
2
Jamani ninaomba kuuliza hivi kuna mashine za kufumia vitambaa vya makochi/nyuzi au masweta? Mimi nashida nayo napata tenda nyingi ila siwezi kufuma kwa wakati kama kuna mtu anajua aniambie na sehemu zinapopatikana.
FB_IMG_1490471065001.jpg
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitambaa vya uzi bado vinatumika? Kuna kipindi nilikuwa nafuma mtu akanikatisha tamaa akasema umeona wapi watu wanatandika hivyo vitambaa siku hizi? Nikakumbuka kweli Siku hizi nyumba nyingi sioni vitambaa vya uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom