Mashine za kutotolea vifaranga

Hatuna limitation,tray ni Tsh 10,000,kama uko mbali na Mafinga tutakupakizia na utayapokea na kulipia gharama za usafiri.
 
Attachments

  • Kuku wa malawi.JPG
    Kuku wa malawi.JPG
    593.9 KB · Views: 352
Sisi ni wataalamu wa kutengeneza mashine za kuangulia vifaranga vya kuku na ndege wengine. Mashine zetu zimeonesha uwezo mkubwa sana wa uanguaji. Tafadhali usihangaike kutafuta mashine hizo nje ya nchi wewe njoo tu uone ufanisi wa mashine hizi ndipo uamue kununua. Usidanganyike na usikubali kutoa fedha yako kabla hujahakiishiwa ufanisi wa mashine zetu. Pia tunatengeneza mashine za kuchanganya chakula cha mifugo. Karibu kwenye shamba darasa letu. 0753903809
 
Tupo Iringa na bei ya mashine hizi inategemea ukubwa wa mashine. Tuwasiliane 0753903809
 
NDUGU WAJASIRIAMALI WA UFUGAJI WA KUKU, SISI NI WATENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUANGUA VIFARANGA. MASHINE ZETU NI AUTOMATIC KWA MAANA KUWA ZINADHIBITI JOTO ZENYEWE NA KUGEUZA MAYAI ZENYEWE. UDHIBITI UNYEVUNYEVU PIA HUDHIBITIWA AUTOMATICALLY. ILI UWEZE KUJUA ZILIVYO, TEMBELEA EXPEDITO CASTORY MDUDA. PIA UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA 0753903809
 
Bei mpya za mashine za kutotoa vifaranga toka tarehe 22/05/2016
Mashine ya mayai 180 = Tsh. 1500000 kama ya awali
Mashine ya mayai 300 = Tsh. 2000000 badala ya Tsh. 2200000 ya awali
Mashine ya mayai 600 = Tsh. 2500000 badala ya Tsh. 2800000 ya awali
Mashine ya mayai 1000 = Tsh. 3000000 badala ya Tsh. 3500000 ya awali
Mashine ya mayai 1500 = Tsh. 4000000
Mashine ya mayai 2000 = Tsh. 4500000
Mashine ya mayai 3000 = Tsh. 5000000

Karibuni sana wajasiriamali wote mnaopenda kujiinua kiuchumi kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji
 
0753903809
 
Karibuni sana wajasiriamali wote mnaopenda kujiinua kiuchumi kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji 0753903809
 
Kama Bei huna weka kapicha.

kama picha huna weka bei.

kama bei na picha huna .........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom