Wamejaribu kutolea ufafanuzi?
Zipo vizur sana.. Mimi ni wakala wao wa kuuza machine.. Zipo vizur na kila transaction inakupa risit.... Kwa mawasiliano zaidi,, 0715300088
Nijuavyo mimi,,, luku ilisitiswa kwa sababu ya link ya ifulusi kufungiwa mwaka jana.. Ndio ezeemoney walikua wanachukulia luku kupitia link hiyo... Kwahiyo sasahivi wanastraggle kurudisha luku... Soon itakua poa.. Kuusu tigo hiyo Sijajua nini tatizo.. Lakini management inasema luku ikirudi huduma nyingine nyingi kama,, azam TV. Zuku TV, airtel money, eazypesa, na nyingine zitaongezeka....

Hadi kuikamilisha inahitaj bei gani..... Manunuzi na usajili kama upo(kutoa mtaj wa biashara)