Panya Mabaka JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 619 Reaction score 560 Jun 16, 2015 #1 Hivi vitambulisho vya kupigia kura kwa jina moja vinaitwaje? Maana huku unyamwezini vinaitwa vipalata. Sehemu nyingine vinaitwaje au ndo hivyohivyo? Msaada plz
Hivi vitambulisho vya kupigia kura kwa jina moja vinaitwaje? Maana huku unyamwezini vinaitwa vipalata. Sehemu nyingine vinaitwaje au ndo hivyohivyo? Msaada plz
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Jun 20, 2015 #2 Kisibo (Kifaa cha utambuzi wa sifa za kibiolojia)
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Jun 20, 2015 #3 Askari Kanzu said: Kisibo (Kifaa cha utambuzi wa sifa za kibiolojia) Click to expand... Hiki kinatambua au kinasajili (andikisha)?
Askari Kanzu said: Kisibo (Kifaa cha utambuzi wa sifa za kibiolojia) Click to expand... Hiki kinatambua au kinasajili (andikisha)?
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Jun 20, 2015 #4 Gurta said: Hiki kinatambua au kinasajili (andikisha)? Click to expand... BVR machine=Kisibo. Kwa ufafanuzi zaidi jaribu kuwasiliana na BAKITA.
Gurta said: Hiki kinatambua au kinasajili (andikisha)? Click to expand... BVR machine=Kisibo. Kwa ufafanuzi zaidi jaribu kuwasiliana na BAKITA.