makongora makongors
Member
- Jan 2, 2014
- 94
- 18
Ameenda kujiandikisha mashine zikagoma kusoma alama za vidole amezunguka vituo vyote mashine zimemkataa kilicho baki ni wananchi na wao kumkataa kwenye uchaguzi mkuu.
Mungu ametaka tu kuwadhihirishia ukuu wake.Ameenda kujiandikisha mashine zikagoma kusoma alama za vidole amezunguka vituo vyote mashine zimemkataa kilicho baki ni wananchi na wao kumkataa kwenye uchaguzi mkuu.
Ameenda kujiandikisha mashine zikagoma kusoma alama za vidole amezunguka vituo vyote mashine zimemkataa kilicho baki ni wananchi na wao kumkataa kwenye uchaguzi mkuu.
Udaku mwingine wa kitotot na mburura wanadakia hata hawaulizi wapi, lini maana kwake bado. Vituo vyote vipi. Vilaza bwana na wakikutana na vilaza wenzao mbona ulaza?