Mashine za bakery zinauzwa

Mashine za bakery zinauzwa

mpasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
919
Reaction score
2,007
WAPENDWA MASHINE ZENYE UWEZO WA KUZALSHA MIKATE ELFU TATU(3000) KWA KUTUMIA MIFUKO 10 YA NGANO KWA SIKU ZINAUZWA.
NAZO NI(1)ROTARY OVEN(2)SPIRAL MIXER(3)DOUGH DIVIDER(4)DOUGH ROUNDER(5)TOAST SLICER,ETC
ANAHEHITAJI,ATUME EMAIL dondi_family@yahoo.com au simu 0719-818782 NIMPELEKE AZIONE,THANX
 
Uko wapi? Weka picha..sio kila mtu mwenye muda wa kukutafuta il akaone mzigo!
 
Wengine wala hawako tanzania, hebu weka na bei mkuu
 
Dough divider-1400usd
spiral mixer-2150 usd
toast slice-900 usd
rotary oven-10000 usd
mzigo unabeba na kuanza uzalishaji upo bongoland tayari,by now umefungwa na unapiga mzigo kama kawa ukija kuuona unaukuta upo kazini
 
Kidding...? Google ujue bei yake China, acha
bei za giza.... be fair...

Dough divider-1400usd
spiral mixer-2150 usd
toast slice-900 usd
rotary oven-10000 usd
mzigo unabeba na kuanza uzalishaji upo bongoland tayari,by now umefungwa na unapiga mzigo kama kawa ukija kuuona unaukuta upo kazini
 
Back
Top Bottom