ndugu yangu nilishindwa kuiendesha mashine kumbe inahitaji mtaji mkubwa kwajili ya raw material kama mafuta, dawa na maboxi lkn mshine ina uwezo wakuzalisha box 150-250 kwa siku kulingana na material utakayokuwanayo ila mashine ipo kwa musuguli mbezi.