Siasa Afrika inalipa kuliko chochote. Kwa raha hizo ndio maana hata wanachapana fimbo kugombea ulaji
...........namwona kama amechoooka, ingawaje maisha yake ni full maluxury !
Imekuwa ni uwekazji siyo utumishi tena, ukitaka kuwa Mbunge lazima uandae mtaji kwanza.Siasa Afrika inalipa kuliko chochote. Kwa raha hizo ndio maana hata wanachapana fimbo kugombea ulaji
Tuache ujinga, magari ya aina hiyo yanakuja na options kama hizo. Na ukitaka kuweja video kwenye gari lake haligharimu zaidi ya dola 500/-. Nimeweka kwenye pajero yangu tena mbili kwa being hiyo pamoja na camera ya kukuonyesha unapopiga reverse.Siasa Afrika inalipa kuliko chochote. Kwa raha hizo ndio maana hata wanachapana fimbo kugombea ulaji
Kwa hiyo kwako wewe gari la umma ni sahihi matumizi hayo ya $500! Nafikiri utetezi wako haukuzingatia ukweli huo, kwamba ili siyo gari lake binafsi. Rais wetu Magufuli gari lake halina hayo, na tulishangilia alipokwenda Dodoma kwa gari ya kawaida kabisa.Tuache ujinga, magari ya aina hiyo yanakuja na options kama hizo. Na ukitaka kuweja video kwenye gari lake haligharimu zaidi ya dola 500/-. Nimeweka kwenye pajero yangu tena mbili kwa being hiyo pamoja na camera ya kukuonyesha unapopiga reverse.
Tuangalie mambo yatakayo tuletea maendeleo