Mashine ya MAXMALIPO inauzwa

Mashine ya MAXMALIPO inauzwa

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Ipo katika hali nzuri, inafanya miamala yote LUKU, TRA, BANK, BILL ZA MAJI nk

Bei yake dukani ni 816,000

Nitakuuzia kwa 350,000

Iko Mwanza, Mawasiliano 0656333975 Watsapp

Sababu ya kuuzwa, nimefunga biashara kutokana na sababu za kiuchumi.
 
Back
Top Bottom