MASHINE YA KUUZIA MAJI.

MASHINE YA KUUZIA MAJI.

ishengoma kamuhanda

Senior Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
136
Reaction score
117
Hauhitaji mhudumu.hauibiwi MAJI.unaweka sarafu ya shs 50,100,200 au 500. Inaanza kutoa MAJI kulingana na hela uliyoweka.ni kama unavyonunua mafuta petrol station.
IMG_20190628_161922.jpeg
IMG_20190628_161909.jpeg
IMG_20190628_160155.jpeg
IMG_20190628_160134.jpeg
 
Haina haja ya kuweka mtu wa kusimamia mkuu wangu?
Bei ya hizi mashine ikoje?
 
Back
Top Bottom