Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Wakuu, nahitaji mashine ya kutotoleshea vifaranga naweza kupata wapi?Kuna mtu aliweka post kuwa anazo ila shida ni kuwa hajibu maswali ya wateja. Asante
Mi ninayo moja locally made (made in Tanzania), manual operation (unageuza mayai kwa kubinua tray tu mostly mara 6 kwa kila masaa 24), inatumia Balbu, temperature control, thermometer na imetengenezwa kwa mbao... Inaingiza mayai tray 16 na inahatch tray 4-6... Nipo dar, 0714881500. Bei Laki NANE tu. Sina picha sasa hv coz haiko hapa, nimeihifadhi kungine.Wakuu, nahitaji mashine ya kutotoleshea vifaranga naweza kupata wapi?Kuna mtu aliweka post kuwa anazo ila shida ni kuwa hajibu maswali ya wateja. Asante
Wakuu, nahitaji
mashine ya kutotoleshea vifaranga naweza kupata wapi?Kuna mtu aliweka
post kuwa anazo ila shida ni kuwa hajibu maswali ya wateja.
Asante