Mashine ya kutengeneza vitabu

Mashine ya kutengeneza vitabu

Joined
Oct 24, 2021
Posts
6
Reaction score
1
Habari wakuu, samahani nauliza kwa anayefahamu mashine ya kutengeneza vitabu kama petty cash, receipt book, oder book, invoice book, vitabu.

Naombeni kufahamu gharama ya hiyo mashine na wapi zinapatikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom