Mashine ya kuranda na kuchana mbao inauzwa

Mashine ya kuranda na kuchana mbao inauzwa

bhakokaya

Senior Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
173
Reaction score
67
Habari zenu wana jamii forum

Nauza machine ya kuchana ,kuranda na kutoboa mbao, 3 in 1 ni mpya haijatumika hata mara moja,ni 3 phase
Kwa anaehitaji mawasiliano 0656539385

Bei ni milioni 2.7
 
Shuka kidogo uchukue milioni mbili mkuu uniachie hiyo kitu
 
Aina ya machine hiyo
 

Attachments

  • 1405755491029.jpg
    1405755491029.jpg
    19.2 KB · Views: 363
Back
Top Bottom