Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
Bei ya ofa ni 2, 100,000 tu badala ya bei ya kawaida ya 2,250,000. Ofa itaisha tar 20.08.2017. Mashine ni ya diesel, na inapukuchua Tani 1 kwa saa. Ina matairi madogo na ni rahisi kuhamishika. Mashine ni MPYA kutoka kiwandani China. Ipo dukani DSM, Tabata Segerea mwisho stendi ya daladala, jengo linalofuata baada ya Amazon collage, utaona bango la THE BRIDGE. Panda juu ghorofa ya kwanza. hapo ndipo duka la THE BRIDGE lilipo. mawasiliano 0715316614. zipo pia mashine nyinginezo za ujasiriamali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app