Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
Inatumia umeme wa majumbani (220 V), Ni rahisi kutumia na ina umbo dogo (portable). Bei ya ofa 1,399,000 badala ya 1,600,000 . Fika dukani THE BRIDGE , Dsm tabata segerea mwisho stendi ya daladala , jengo linalofuata baada ya Amazon college (utaona bango la THE BRIDGE, Panda juu ghorofa ya kwanza). Mashine ni mpya kutoka kiwandani China. Pia tuna mashine nyingine nyingi za ujasiriamali. Tupigie 0715316614(Tz) .