Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing business hapa Dar naomba anijuze. vifaa/materials kama squegees, mesh, colors nk.
asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.