Bandugu natafuta mashine ya kukatia nyama inayotumia ile misumeno midogo ya kukatia vyuma, ni kwa ajili ya matumizi ya butchery. Mwenye kujua habari ya hizi machine wapi zinapatikana hapa Tanzania naomba anielekeze tafadhali