Mashine ya kukamulia juisi ya miwa

Mashine ya kukamulia juisi ya miwa

mzalendo-wa-tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
404
Reaction score
187
Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya miwa. Iwe kubwa (for big commercial project) yenye rollers kuanzia 4 au 5 na kuendelea. Kama unamfahamu mtu anayeuza au zinakopatikana msaada tafadhali. Nicheki kupitia emmanuelmgimwa@gmail.com au 0713769013
 
Zipo magereza ndio dealers wakubwa Wa hizo mashine,kaulize ukonga au segerea
 
Habari za kazi boss, mashine ipo ukonga, bei laki 7, hata ukihitaji leo
 
Back
Top Bottom