M magange Member Joined May 30, 2015 Posts 65 Reaction score 15 Apr 27, 2016 #1 Habari zenu wapendwa? Samahani naomba kujua wapi naweza kupata mashine ya kufyatulia tofali na mixture na zinauzwaje? Nipo Dar. Mwenye ufahamu anisaidie maelezo. Asante
Habari zenu wapendwa? Samahani naomba kujua wapi naweza kupata mashine ya kufyatulia tofali na mixture na zinauzwaje? Nipo Dar. Mwenye ufahamu anisaidie maelezo. Asante