Naamini unamaanisha mashine yakushonea viroba.
Hizo mashine zipo zakihindi 300,000.
Pia zipo za China zinauzwa 200,000.
Sijui upo wapi ila kama uko hapo mjini nenda mwenyewe Kariakoo zinapatikana madukani kwa bei hio.
Samahani kwa kuvamia MADA ya mtu mwingine.
Natafuta mtaalamu wa kuniandalia Comprehensive Business Plan ya mradi wa kutengeneza unga wa sembe.
Mtaalamu huyo awe ana uzoefu wa muda mrefu wa kutengeneza business plans, na awe ameshaanda nyingi zikiwemo za aina hii ninayoitaka.
Kama uko tayari nipatie Qualification(s) na Experience(s) pamoja na demand zako + contacts. Au nitumie PM.
Reference check ya Qualification & Experience itafanyika kuchagua Mtaalamu bora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.