Mashine ya kufulia nguo inauzwa

Mashine ya kufulia nguo inauzwa

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,483
Samsung Washing Machine inauzwa ikiwa kwenye excellent condition kabisa.
Ilinunuliwa mwaka jana mwanzoni na haina tatizo lolote.

Bei ni 700k ila mazungumzo kidogo yanawezekana.

Kama uko interested call or watssap 0652640205
IMG-20180528-WA0040.jpg
IMG-20180528-WA0039.jpg
IMG-20180528-WA0038.jpg
 
Wewe toa hiyo bei anayotaka mtoa mada.
Wenzio tupo JF miaka,tuna uzoefu na biashara zinazofanyika humu,labda nje ya JF unaweza kuuza hata milioni 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom