Mashine ya kuchimba barabara aina ya "excavator" inahitajika mapema

deonova

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
742
Reaction score
420
Salaam wadau,

Tunatafuta kampuni inayoweza kutukodishia mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mwamba (kwenye mwinuko) na specifically tunahitaji mashine aina ya "Excavator". Kampuni hii iwe ya Moshi maana eneo la kazi ni Moshi vijijini (juu ya Chuo cha wanyamapori - Mweka, kama 18Km kutoka Moshi mjini).

Sisi kamati tunaoratibu kazi hii tuko Dar es Salaam hivyo kampuni itakayokuwa na hiyo mashine tutawaunganisha na kamati yetu ya Moshi wawapeleke kufanya survey eneo la mradi.

Mradi uko financed na sisi wenyewe hivyo hakuna tatizo kwenye taratibu za malipo as tukishapata uhakika wa mashine tutafanya mawasiliano then tutakuja Moshi mapema iwezekanavyo na kufika ofisini kufanya malipo na tuongozane na hiyo mashine kwenda eneo la kazi.

Natanguliza shukurani kwenu.
 
Check na Kuku Nzito Ltd, KukuNzito |
piga 0756018025 Felishana, au 0784236985 Jan.

Mkuu okwili nashukuru sana ila hawa Kuku Nzito tulishawacheki wakatuambia machine ziko occupied. Kuna kampuni nasikia ya Said Mwema ila bado sijajua hawa ofisi zao ziko wapi Moshi pale au contacts zao walau tungeenda kucheki na hawa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kwa sasa machine zetu ziko busy kidogo coz kuna miradi tunafanya. Hao watu wa said mwema wako boma road Moshi. Waweza nicheck kwa 0712687590 ili nikuungabishe na watu wengine kama hao nao machine zao ziko busy.
 
Hao wa kwa Said Mwema, wanaitwa Hamieri Ltd. Check na operator wao anaitwa Donald 0783472879 utafika ofisini kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…