Mashine ya KuBet

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,754
Reaction score
4,032
Nauliza ni jinsi gani naweza kuwa wakala wa betting, niko Mkoa wa Singida, nahitaji kuweka mashine hii ya Betting kwenye ofisi yangu.
Maswali Muhimu...
1. Je, nianzie wapi kupata mashine hii?
2. Vigezo na masharti ni yapi?
3. Ni vipi naweza kufaidika na biashara hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…