Mashine ya kisasa ya kukamulia miwa


Nahitaji
 
Inatumia power kiasi gani mkuu
 
Habari.
Napenda kuwaletea na mashine ya kisasa ya juisi ya miwa iliyo mdogo (5Okg) na yenye ufanisi wa halo ya juu.

Ina roller tatu hivo kusaga miwa Mara moja tu bila kurudia.

Inatumia chain badala ya belt hivo kuifanya Iwe imara zaidi kuliko belt inayokatika Mara kwa Mara.

Ni portable.

Ina 750 ambayo inaweza ikasaga miwa zaidi ya mia tatu kwa SAA.
Bei:1,1OO,OOOTsh.

Contact and whatsap
 
Sisi wa mikoani miwa tunajitafunia wenyewe, kutafuniwa miwa na machine hizo ni tabia za wanaume wa Dar. Machine nzuri sana Mkuu sema huku mkoani wateja wa juice wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…