englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hilo ni kama airforce one dah zuri eeeehEbwana weee....bonge la usafiri.....
hilo ni kama airforce one dah zuri eeeeh
kama sio disel sijuiYaani hilo mie nkipakiwa lazima nisinzie kwa kuenjoy.....lol
Alafu sijui latumia mafuta au majiππ
kama sio disel sijui
hahahahahahaAu mafuta ya nazi...
Ngoja ni cross boda nije nikupakie.Yaani hilo mie nkipakiwa lazima nisinzie kwa kuenjoy.....lol
Alafu sijui latumia mafuta au majiππ