Wakuu wapi naweza kupata mashine ya kamari kama hii kwa kununua hapa Tanzania manake juzi juzi mchina fulani alizileta hapa ushirombo Geita watu tukawa tunakula hela sio mchezo ila akaja kuzitoa zote sasa mimi nataka ninunue kabisa hata mashine 1 ili nipige mkwanja wa maana.
Kamari Kharam,
Dunia mapito mkuu,pesa hizo siku hiyo ni moto kwako.
Pesa za Camari Laana tupuuu,teena laana yenye kuendelea katika kila mali yako na kizazi chako.Na kulaani mpaka na malaika katika kila sekunde ya pumzi yako.