PatriceLumumba
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 426
- 584
1,100,000/ tu.
Mkuu asante kwa taarifa hiyo bei ni pamoja na kodi?
1,100,000/ tu.
Ndio
Umejuaje???nzuri sana..
Inapatikana wapi!Habari,
Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga mpaka kilo 300 kwa saa 1
750W
Inawarranty ya mwaka mzima
1,100,000/ only
Call/whatsapp 0713662655 Dar
View attachment 601027
0752990953 tuwasilianeInapatikana wapi!
Mkuu huku nilipo umeme ni shida Sana, vipi naweza ipata inayoweza fanya kazi katika mazingira Ya uwepo wa umeme na usipokuwepo? Kama unayo niinibox mawasiliano yakoNi kweli.
Kama hii ukiikuta Africa Kusini hata kama inauzwa 4,500,000/= , we nunua tu, lkn Bongo hapa hata kama unauzwa tsh.150,000/=, ni majanga.
Asante,nitakuja tu kununuwa Allah afanye Allah afanye wepesiKaribu Sana.