Mashine ya juice ya miwa

Mashine ya juice ya miwa

Algeciras

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
349
Reaction score
330
Habari,

Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa

Inachuja yenyewe

Inaweza kusaga mpaka kilo 300 kwa saa 1
750W
Inawarranty ya mwaka mzima
1,100,000/ only
Call/whatsapp 0713662655 Dar
IMG_20170814_103944_475.jpg
 
Mimi sio mnunuzi, ila angalau hio machine na bei yake vinafanana sio watu unaona kabisa vyuma vyuma na marangi yamepakwa kwa mkono nao wanauza 1,450,000
Ni kweli,
Mimi nauza bei nafuu.
 
Una duka la hizo mashine na spea zake au unayo moja tuu.....
 
Mkuu, kwasasa sina pesa lakini nilikuwa naisaka sana hiyo kitu. Zinapatikana wapi? Nisaidie Mkuu ili nijichange
 
Nimeipenda sana aisee iko poa na bei inalingana kabisa.
 
Mnakopesha?
Mashine iko vizuri hata juisi inayotoka hapo itashuka vyema
 
Back
Top Bottom