Mashine ya juice ya miwa laki saba

Mashine ya juice ya miwa laki saba

Joined
Oct 20, 2019
Posts
29
Reaction score
8
Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM
Machine Bado ipo

Inauzwa Tsh 700,000/
Phone: 0675336219
 
Back
Top Bottom