saidwangwe
Member
- Jul 13, 2020
- 7
- 5
Ndugu zangu naomba anaefahamu bei ya mashine ya kutengenezea juisi ya miwa inayotumia umeme mpya jina bei gani na mtumba ina bei gani naomba mawasiliano kupitia 0744230251
Inafika hadi 1.8m kwa sasaNdugu zangu naomba anaefahamu bei ya mashine ya kutengenezea juisi ya miwa inayotumia umeme mpya jina bei gani na mtumba ina bei gani naomba mawasiliano kupitia 0744230251