Mashine ya EFD

Mashine ya EFD

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
47
Naomba msaada kwa anayeelewa matumizi ya mashine za EFD kwani TRA wanasisitiza Sana wafanyabiasha kuwa nazo.Mfano mimi mtaji wangu ni laki4 nimeambiwa ninunue mashine nimeulizia mashine yenyewe bei yake laki5 na 90 sasa hapo nachanganyikiwa na kutokuelewa intention ya hawa maafisa wa TRA kama ugumu wa biashara na uhalisia wa mambo kama wanauelewa.
 
Hapo wao wanapata faida pindi unanunua hiyo mashine.

Pia wakati wa kuitumia unapotoa risiti wao kwenye kufanya ukaguzi ni rahisi kujua mapato yako na wao watakadiria makato kulingana na mauzo.
 
Back
Top Bottom