Mashine Mpya Ya Vinywaji Baridi Inauzwa

Mashine Mpya Ya Vinywaji Baridi Inauzwa

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Nauza mashine mpya inang'aa ya vinywaji baridi aina ya Te Li Da.

Ina mitungi miwili ya lita 18 kila mtungi (jumla lita 36).

Imenunuliwa mpya Kariakoo mwezi wa 7 kwa milioni 1, na imefanya kazi takriban wiki 2 tu.

Bei ni laki 7 (Tshs 700,000)

Nipo maeneo ya Mbezi Beach

Anayehitaji wasiliana 0676190328

20161027_101630.jpg
20161027_101646.jpg
20161027_101707.jpg
20161027_101717.jpg
20161027_101738.jpg
20161027_101754.jpg
View attachment 424996
20161027_101630.jpg
 
Wadau, hii mashine bado inauzwa kwa anayehitaji piga 0676190328
 
Back
Top Bottom